
Tanzania fast-rising artist and WCB Wasafi Records Diva, Zuchu has announced a release of a new project tagged Sukari.
Zuchu amedokeza ujio wa Kazi yake Mpya aliyoipa jina la ‘SUKARI’ ambayo inatarajiwa kuachiwa rasmi kesho Jumatano (Januari 20, 2021), Huenda ikawa ni Album, EP au Wimbo kwani bado hajaweka wazi.
Kesho Januari 20, ndiyo siku ambayo Mashabiki watapata Nafasi ya kufahamu ukweli Kuhusu #SUKARI, hii ikiwa ni kazi yake ya kwanza tangu mwaka 2021 uanze.
AUDIO Zuchu – Sukari MP3 DOWNLOAD


Leave a Reply